UTANGULIZI
Idara ya maji ina jukumu la kutekeleza sera ya maji na sheria sambamba na ilani ya chama cha mapinduzi katika kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi kwa umbali usiozidi mita 400. Katika kufanikisha hili idara ya maji ina jumla ya watumishi 6 ambao ni Mhandisi 1, mafundi sanifu 3, mafundi sanifu wasaidizi 2.
MAJUKUMU YA IDARA YA MAJI
IDARA YA MAJI INAUNDWA NA WATUMISHI WAFUATAO
MGAWANYO WA MAJUKUMU
Mgawanyo wa majukumu unapangwa na kuratibiwa na Mhandisi wa maji Wilaya kutokana na kazi zilizopo na taaluma ya mtaalamu
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa