Utangulizi:
Idara ya elimu ya msingi ina shule 90 zikiwemo shule 3 za binafsi Shekinnah, Minnah na Kiteto Christian Center (KCC) shule 87 zilizobaki ni za serikali. Shule hizi zinajumla ya wanafunzi 46,659 wavulana 23,657 na wasichana 23,002 kuna walimu 725 wanaume 412 na wanawake 313.
Majukumu ya idara
Idara zinatekeleza mjukumu yafuatayo:-
Huduma zitolewazo na Idara ya Elimu Msingi.
Uandikishaji.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa