Imetumwa : April 25th, 2025
Kamati ya Fedha, Uratibu na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto imefanya ziara ya siku mbili kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Makame.
...
Imetumwa : April 25th, 2025
Shirika la Standing Voice kwa kushirikiana na Kitengo cha Ustawi wa Jamii kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Aprili 21, 2025, limeendesha huduma ya kliniki ya ngozi kwa watu wenye ulemav...
Imetumwa : April 21st, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ipo katika maandalizi kuanzisha mradi wa ufugaji wa sungura katika shule za msingi sekondari wilayani hapa.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Lishe Wila...