Imetumwa : October 5th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe Tumaini Magessa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Chekanao,kata ya kiperesa, wilayani Kiteto.
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe Tumaini...
Imetumwa : September 27th, 2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Charles Francis Kabeho akipokea taarifa ya ujenzi wa bweni la wavulana ( Mhe. John P.J Magufuli) lililojengwa katika shule ya sekondari ya Enguse...
Imetumwa : September 5th, 2018
Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii (W) Ndg. Joseph Mwaleba akifungua kikao cha kamati ya lishe ya wilaya ya Kiteto kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji .Aliyekaa upande wake wa kushoto ni mganga mk...