Imetumwa : December 10th, 2024
Wilaya ya Kiteto imeadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa shughuli mbalimbali za kijamii zilizofanyika Desemba 9, 2024. Katika maadhimisho hayo, viongozi wa wilaya, watumishi wa umma, na wa...
Imetumwa : November 3rd, 2024
Katika juhudi za kuboresha ufanisi wa kukabiliana na maafa Katika Halmashauri ya Wilaya Kiteto, Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, ilifanya kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo kuanzia Oktoba ...
Imetumwa : October 27th, 2024
Kitengo cha Lishe katika wilaya Kiteto kimetoa mafunzo maalum kwa walimu 64 kutoka katika shule za sekondari 9 na msingi 55. Mafunzo hayo yamefanyika kwa lengo la kuongeza uelewa na maarifa ya walimu ...