Imetumwa : December 18th, 2024
Viongozi wa Kamati ya Dini Mbalimbali Wilayani Kiteto, wakiongozwa na Mch. David Kalinga, Afisa Programu wa Mahusiano ya Dini Mbalimbali kutoka CCT, Desemba 18, 2024 wamekutana na Mkuu wa Wilaya...
Imetumwa : December 17th, 2024
Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi, Bi. Elizabeth Mlaponi, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, wamefanya ziara ya ufuatiliaji wa maendeleo ya miradi ya BOOST...
Imetumwa : December 14th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Mhe. Abdala Bundala, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, CPA Hawa Abdul Hassan, kwa usimamizi bora wa ukusanyaji wa mapato.
...