Imetumwa : November 15th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Cuthbert Sendiga, amewaagiza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani Kiteto kuhakisha wanaboresha barabara zote wilayani hapo ili ziweze kupitika ...
Imetumwa : October 30th, 2023
Oktoba 30,2023, Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto imeadhimisha Siku ya Lishe Kitaifa katika Shule ya Sekondari Kibaya.
Katika maadhimisho hayo, Afisa Lishe (W), Bi Beatrice Lutanjuka akiongozana na w...
Imetumwa : October 12th, 2023
Katika mipango na mikakati ya serikali ya kuboresha na kusogeza huduma za afya karibu na wananchi, kituo cha afya cha Engusero kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kimeanza kuf...