Imetumwa : October 12th, 2023
Katika mipango na mikakati ya serikali ya kuboresha na kusogeza huduma za afya karibu na wananchi, kituo cha afya cha Engusero kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kimeanza kuf...
Imetumwa : October 8th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto imepata hati safi katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023.
Kauli hiyo imetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa, Bw. Abdalla Shaib Kaim, Oktoba 8, 202...
Imetumwa : October 1st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, SSI. Mbaraka Alhaji Batenga amewaomba wazee wilayani hapo kuisaidia serikali kukemea uporomokaji wa maadili katika jamii.
Ombi hilo limetolewa Oktoba 1,2023 katik...