Imetumwa : April 30th, 2024
Watumishi wilayani Kiteto wameaswa kua na nidhamu na matumizi bora ya fedha ikiwa ni njia mojawapo ya kupata utulivu kazini.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya Kiteto , Mh. Remidius Mwema, kwenye...
Imetumwa : April 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh. Remidius Mwema Emmanuel, amewaagiza wakuu wa taasisi wote wilayani hapo ambao hawajaweza kuwatambua wafanyakazi hodari kwa mwaka 2024 kufanya hivyo mara moja.
Maagizo &...
Imetumwa : March 22nd, 2024
Jumla ya madawati 358 yamegawiwa katika shule za msingi 16 wilayani Kiteto katika mpango mkakati wa kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za msingi.
Hafla hiyo ambayo ilihu...