Imetumwa : February 12th, 2026
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Mhe. Athumani Kilimo, Februari 12, 2026, amekabidhi vyeti kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ...
Imetumwa : February 10th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amewaasa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kuifahamu na kuiheshimu mipaka ya majukumu yao ya kisheria, akisisitiza kuwa mipaka hiyo ndiyo dira ya...
Imetumwa : February 9th, 2026
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakiwa katika mafunzo maalumu ya siku mbili yanayoendelea wilayani Kiteto leo tarehe 9 Februari, 2026.
Mafunzo hayo yanayotolewa na wakufunzi kutoka ...