• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TPHPA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA UGANI –KILIMO KITETO

Imetumwa : February 7th, 2024

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viwatilifu Tanzania (TPHPA), wametoa mafunzo ya kuwajengea Maafisa Ugani- Kilimo uwezo  wa kutabiri mlipuko wa visumbufu vya mimea.

Mafunzo hayo ambayo yamefanyika Februari 7,2024 katika Ofisi za Kilimo Wilayani hapo, yaliendeshwa na wawezeshaji watatu kutoka TPHPA  Arusha  ambao ni Gladman Mbukoi, Aniceth Chuwa na Hashim Mwemnao.

Mbali na mafunzo hayo, mamlaka hiyo imetoa vifaa vya kuwasaidia maafisa ugani hao katika zoezi la kutabiri visumbufu vya mimea pamoja na vipima mvua. Visumbufu  vya mimea vilivyolengwa kwenye mafunzo hayo ni viwavijeshi.

Ingawa Halmashauri ina kata 23, ila mafunzo hayo yametolewa kwa Maafisa Ugani –Kilimo kutoka kwenye kata nne kutokana na ufinyu wa bajeti. TPHPA inategemea kufanya mafunzo hayo kwa kata zote pale watakapopata bajeti ya kutosha.  

Kata ambazo zimenufaika na mafunzo hayo na vifaa hivyo ni Bwawani, Dosidosi, Njoro na Olboroti. Kata hizo zimepata nafasi ya kwanza kwasababu zinahistoria ya kuathiriwa zaidi na visumbufu hivyo.

Nae Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndugu Said Sembade amesema kwamba  lengo la mafunzo hayo ni kuweza kugundua uwezekano wa mlipuko wa visumbufu hivyo ili kuweza kuwasaidia wakulima kukabiliana navyo na kuepeuka kupata hasara.

Mbali na utoaji wa elimu , TPHPA pia hutoa sumu ya kuthibiti/kuua visumbufu pasipo gharama yoyote.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • "VIJANA JIUNGENI KWENYE VIKUNDI ILI MUWEZE KUNUFAIKA NA MIKOPO YA 10%" - Ussi

    July 14, 2025
  • SEHEMU YA MICHANGO YA MWENGE YATUMIKA KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA.

    July 14, 2025
  • Bahati iliyoje! Mtoto Azaliwa Masaa Machache Kabla ya Uzinduzi wa Zahanati, Apewa Jina la Mkimbiza Mwenge.

    July 14, 2025
  • JESHI LA POLISI KITETO LAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

    July 14, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa