• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC Mnyeti Aagiza Kukamatwa kwa Wazazi wa Wanafunzi Watoro

Imetumwa : January 17th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti Akihoji  Kuhusu Utoro wa Wanafunzi Katika  Shule  ya Sekondari Kijungu Wilayani Kiteto Alipotembelea Shuleni hapo .

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kijungu Wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Alexander Mnyeti Alipotembelea Katika Shule Hiyo.


.......HABARI KAMILI ......

RC MNYETI   ATOA AAGIZA KUKAMATWA KWA WAZAZI WA WANAFUNZI WATORO

Mkuu wa mkoa wa Manyara mheshimiwa Alexander Mnyeti   ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi watoro. Mheshimiwa Mnyeti ametoa agizo hilo  baada ya kutembelea shule ya sekondari Kijungu iliyopo katika kata ya Kijungu wilayani  Kiteto na kuona mahudhurio mabaya  ya wanafunzi katika shule hiyo .

Akiwa shuleni hapo Mhe Mnyeti  aliagiza kuonana na wanafunzi , na baada ya wanafunzi kujipanga ,Mhe. Mnyeti alitaka kufahamu idadi kamili ya wanafunzi  katika shule hiyo kwa kila kidato ,kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ,ambapo alielezwa idadi yao, idadi hiyo ilimsababisha Mhe. Mnyeti kutaka kufahamu pia na idadi ya wanafunzi walikuwepo shuleni kwa wakati huo, alipewa idadi yao, idadi ambayo ilimsukuma kutoa agizo kwa mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe.Tumaini Magessa , Mhe. Mnyeti anasema “ Hali ya mahudhurio katika shule hii ni mbaya sana .Walimu wapo shule,lakini wanafunzi hawapo.DC waite viongozi wa kijiji hiki mpange jinsi mtakavyoshughulikia utoro wa wanafunzi” .

Sambamba na kumuagiza Mhe. Tumaini Magessa kushughulikia tatizo hilo ,Mhe. Mnyeti pia  amemuagiza Mkuu wa polisi wilaya ya Kiteto SP Fadhili Luoga kutoa  askari polisi 4 ili washirikiane na mtendaji wa kijiji cha Kijungu katika kukamata wazaziwa wafunzi hao.Vilevile amemuagiza  mkuu wa shule hiyo kuandaa orodha ya wanafunzi watoro na kuikabidhi kwa mtendaji wa kijiji kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo.


                                                                                                        ......... MWISHO..........

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA 11.06.2025 June 11, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA KAZI- MWENYEKITI BODI YA MFUKO WA ELIMU June 08, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI JUNI 2025 June 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 06, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • "VIJANA JIUNGENI KWENYE VIKUNDI ILI MUWEZE KUNUFAIKA NA MIKOPO YA 10%" - Ussi

    July 14, 2025
  • SEHEMU YA MICHANGO YA MWENGE YATUMIKA KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA.

    July 14, 2025
  • Bahati iliyoje! Mtoto Azaliwa Masaa Machache Kabla ya Uzinduzi wa Zahanati, Apewa Jina la Mkimbiza Mwenge.

    July 14, 2025
  • JESHI LA POLISI KITETO LAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

    July 14, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa