Leo Julai 17, 2024, Mwenge wa Uhuru umepokelewa Wilayani Kiteto.
Ukiwa wilayani Kiteto Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kilomita 68 kufungua, kuzindua na kukaguaa miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya Bilioni 3.37.
Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu.
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KITETO.

ReplyForward Add reaction |

Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa