Kutoa ushauri wa Kisheria kwa Mkurugenzi Mtendaji (W) pamoja na wakuu wa idara na vitengo vya halmashauri.
Kufanya upekuzi ( vetting) ya mikataba ambayo halmashauri inatarajia kuingia na wazabuni /wakandarasi mbalimbali kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 pamoja na kanuni zake za mwaka 2013.
Kuandaa nyaraka mbalimbali za kisheria.
Kusimamia mashauri yote ya halmashauri yaliyopo mahakamani ambayo halmashauri imeshtaki au kushtakiwa.
Kusimamia utendaji wa mabaraza ya kata.
Kusimamia Utekelezaji wa mikataba kwa vkushirikiana na idara/kitengo husika.