Idara ya afya imegawanyika katika vitengo viwili,ambavyo ni kitengo cha afya tiba na afya kinga.Idara inahudumia wananchi kupitia jumla ya vituo 32 vya kutolea huduma za afya vikiwemo vya serikali,mashirika ya dini na watu binafsi kama inavyoonekana katika jedwali hapo chini.
KITUO CHA HUDUMA
|
SERIKALI
|
BINAFSI
|
MASHIRIKA
|
JUMLA
|
Hospitali
|
1
|
-
|
-
|
1
|
Vituo vya afya
|
2
|
-
|
-
|
2
|
Zahanati
|
24
|
1
|
4
|
29
|
Jumla
|
27
|
1
|
4
|
32
|
Idara ina jumla ya watumishi wapatao 265 wa kada mbalmbali za afya.
Huduma za afya zinatolewa katika vituo 32 Kama ilivyoonyeshwa katika utangulizi. Vituo hivyo ni kama ifuatavyo;
Hali ya mfuko wa afya ya jamii kwa mwaka 20187 ,jumla ys kaya 5650 zilijiunga na mfuko wa afya ya jamii (ICHF) ambayo ni sawa na asilimia 85 ya lengo lililowekwa na idara.
Kuanzi a Januari – Machi 2018 ,jumla ya kaya 2482 zimejiunga,sawa na asilimia 3.68 ya lengo hadi kufikia mwezi Disemba ,2018.
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa