Kuwashauri wazazi/walezi kuwa karibu na watoto wao ili waweze kutimiza malengo ya ndoto zao, kwa mfano:- watoto wakike kutojihusisha na mapenzi wakiwa shuleni
Kuwashauri wazazi/walezi kupata ufahamu kuwa elimu ndio uridhi pekee kwa mtoto hivyo watimize jukumu lao la malezi na ufuatiliaji wa wanafunzi wawapo shuleni na nyumbani pia.