1: Miradi Iliyokamilika 2016/17 – 2017/18
Na
|
JINA LA MRADI |
1
|
Ujenzi wa miundombinu mradi wa kilimo cha umwagiliaji Olgira kata ya Sunya
|
2
|
Ujenzi wa nyumba ya walimu 6:1s/sekondari Sunya
|
3
|
Uchimbaji wa kisima cha maji Hospitali ya Wilaya
|
4
|
Uchimbaji wa kisima cha maji Ngarenaro
|
5
|
Ujenzi wa jengo la mama ngojea katika Hospitali tya Wilaya
|
6
|
Ujenzi wa vyoo S/Msingi Kibaya
|
7
|
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa S/Msingi Kaloleni
|
8
|
Ujenzi wa bweni S/Sekondari Kiteto
|
9
|
Ukarabati wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji (w)
|
10
|
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa kwa ajili ya kidato cha V na VI S/Sekondari Engusero
|
11
|
Ujenzi wa uzio katika mnada wa Sunya
|
12
|
Ujenzi wa kituo cha maendeleo ya kilimo kata ya Njoro
|
13
|
Ujenzi wa miundombinu mnada wa Njoro
|
14
|
Ukarabati wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Matui
|
15
|
Ukarabati wa josho la mifugo Namelock
|
16
|
Ujenzi wa zahanati ya Emarti
|
17
|
Ujenzi wa nyumba ya walimu 6:1 S/Sekondari Lesoit
|
Kibaya-Kiteto
Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto
Simu ya Mezani: +255 027-2552099
Simu ya kiganjani:
Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa