• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • This page is under construction
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Maendeleo ya jamii

Majukumu ya idara ya maendeleo ya jamii

  • Kuandaa miongozo ya utekelezaji wa kazi za maendeleo ya wilayani.
  • Kutafsiri fedha za wizara katika ratiba za kazi za wizara wilayani na kutoa ushauri.
  • Kuratibu na kuunganisha taarifa za kazi za maendeleo ya jamii zinazotekelezwa wilayani. 
  • Kuchambua ma kushauri juu ya sera mbalimbali za jamii ,jinsia na watoto.
  • Kuaandaa miongozo ya utekelezaji wa shughuli za maemdeleo  ya jamii (guideline )Katika ngazi mbalimnbali wilayani.
  • Kusimamia na kuboresha fani ya maendeleo ya jamii wilayani.
  • Kuaanda taarifa ya kazi za maendeleo ya jamii kwa ajili ya wadau mbalimbali.


Taarifa za utekelezaji wa shughuli za idara ya maendeleo ya jamii .Januari  - March 2018

Na

Shughuli/Malengo

Utekelezaji

Mafanikio

Changamoto

Mikakati

Maelezo

KITENGO CHA KUDHIBITI UKIMWI


1.
Kutembelea vikundi vya waviu kata za Kibaya, Bwagamoyo na Kaloleni .
  • Vikundi vitatu vimetembelewa viwili vinaendesha shughuli za Vicoba na kimoja ufugaji wa kuku(waviubwa, upendo, togoleni,)
  • Vikundi vimefanikiwa kuunda Vicoba na kuanzisha miradi ya ufugaji kuku  Kikundi cha Togoleni (Bwagamoyo) kina kuku 30 na kilimo cha mbogamboga.
  • Mitaji midogo kutokana kwamba Wafadhiri kujitoa huduma ya kuleta fedha za Ukimwi.
  • Ukame umeathiri vikundi kutokuwa na chakula cha kutosha na fedha za kuendeshea miradi ya ujasiliamali.
  • Upungufu wa baadhi ya dawa kwa waathirika (seprin)
  • Serikali na wadau mbalimbali wasaidie kutoa misaada kwa watu waoishi na Virus ivya Ukimwi.
  • Idara inaendelea kutoa elimu ya kujikinga na vvu/UKIMWI na elimu ya ujasiriamali. 
Elimu ya Ukimwi itaendelea kutolewa pamoja na ya ujasiliamali na Vicoba.

 

KITENGO CHA USTAWI WA JAMII


2
  • Kupokea na kusikiliza kesi za migogoro ya kifamilia
  • Ofisi ya ustawi wa jamii imepokea kesi 32 kutoka familia zenye migogoro
  • Kesi 31 zimepatiwa suluhisho katika ofisi ya ustawi wa jamii na kesi  1 imepelekwa mahakamani
Wateja kutokuitikia wito wa kufika ofisi ya ustawi wa jamii.
Ufinyu wa bajeti kwa maafisa Ustawi kwenda kufatilia kesi zilizofika ofisini katika ngazi za Kata na vijiji.
Kuendelea na zoezi la kutoa suluhu kwa kesi zote zinazowasilishwa.
Kuendelea kufuatilia kesi ngazi za kata na vijiji.
Elimu inaendelea kutolewa kwa jamii juu ya maswala ya ustawi wa jamii.

KITENGO CHA MAMA NA MTOTO









2.
Usajili wa vikundi vya wanawake na vijana
  • Vikundi 820 vya kiuchumi  vya wanawake na vijana vimesajiliwa toka kata mbalimbali.
  • Tumefanikiwa kutoa huduma ya usajili kwa vikundi vya kiuchumi vya wanawake na vijana 820.
  • Idara kutokuwa na fedha za ruzuku kukosa fursa ya kwenda kutoa elimu ya ujasiliamali kwani idara haina nyenzo za kufanyia kazi.
  • Idara itaendelea kutoa elimu ya ujasiriamali na kwa kadiri tunapopata fursa.
Elimu itaendelea kutolewa.
3.
 
 
Ufuatiliaji wa marejesho ya vikundi vya wanawake na  vijana vilivyokopeshwa December 2016.
 
 
  • Karibu vikundi vyote vilivyokopeshwa vinaendelea na marejesho kama itakavyooneshwa kwenye jedwali.
 
 
 
  • Vinaendelea vizuri na marejesho na jedwali limeambatanishwa.

 

 

 
  • Baadhi ya vikundi vichache vinavyochelewa kurejesha idara inaendelea kufuatilia na watakamilisha kabla ya 30/6/2018

 

 
  • Uongozi wa Vicoba wilaya umeomba kusimamia marejesho hadi 30/6/2018

 

 

 

 
  • Idara inaendelea kusimamia na kufuatilia Marejesho kwa viongozi wa Vicoba.

 


4
Kuratibu maendeleo ya vikundi vya kuweka akiba na kukopa (VICOBA) katika Wilaya.
  • Idara kwa kushirikiana na asasi ya Kiteto VICOBA Allience (KIVIA) inayounganisha vikundi vya VICOBA kwenye kata na vijiji mbalimbali na jumla ya VICOBA 170 vimeanzishwa.
  • .Mafunzo yataendelea kutolewa pale fedha zitakapopatikana.
  • Elimu ya Ujasiliamali inaendelea kutolewa na kuvijengea uwezo katika ngazi ya Wilaya na vijiji .
  • Idara kukosa fedha za kuendeshea na kufuatilia Vicoba.
  • Baadhi ya wanavicoba kutoaminiana katika maswala ya fedha.
  • Idara kwa kushirikiana na Asasi ya KIVIA inaendelea kutafuta wadau mbalimbali ambao watawezesha vikundi vya VICOBA. Kupata Elimu na kuanzisha miradi ya ujasiliamali.
  • Elimu itaendelea kutolewa.

5
  • Kuhamasisha jamii kujiunga na mfuko wa afya ya jamii ulioboreshwa (ICHF)
  • Jumla ya kaya 5898
Zimejiunga na kuandikishwa katika mfuko wa ICHF katika kata zote 23.
  • Uhamasishaji umefanyika katika tarafa zote saba (7) na wananchi wanaendelea kujiunga na kutoa michango.
  • Walengwa wa kaya masikini wameingizwa kwa utaratibu wa Tasaf na kukatiwa Bima na zoezi la utambuzi wa idadi ya kujiunga na TASAF linaendelea. 
  • Uhamasishaji katika taasisi mbalimbali mfano makanisa, misikiti, shule na vikundi mbalimbali
  • Uhamasishaji wa kijiji kwa kijiji unaendelea kufanyika
  • Michango inasuasua kutoka na hali ngumu ya maisha.
  • Bado elimu haijaifikia vijiji vyote katika ngazi ya vijiji
  • Halmashauri kwa kushirikina na wadau mbalimbali wanaendelea kutoa Elimu juu ya mpango huu ulioboreshwa (Ichf).
  • Kukutana na viongozi wa dini na watu maarufu kuongelea kutoa msisitizo wa elimu ya Bima ya afya.
  • Elimu na uhamasishaji, ufuatiliaji itaendeleakutolewa kwa kutumia viongozi mbalimbali.

6
  • Uanzishwaji wa jukwaa la kuwezesha wanawake kiuchumi.
  • Jukwaa la kuwezesha wanawake kiuchumi linatarajiwa kuzinduliwa ngazi ya Wilaya na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa makamu wa Raisi
  • Bado uzinduzi haujafanyika lakini zoezi la kuchagua viongozi lilifanyika chini ya uongozi wa mkuu wa Wilaya
  • Wanawake wengi kutojitokeza mara wanapoitwa kwenye vikao.
  • Ukosefu wa fedha ili kufikisha elimu ya jukwaa ngazi ya kata na vijiji.
  • Idara itaendelea kuhamasisha wanawake kujiunga na jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi.
  • Idara itaendelea kuhamasisha wanawake kujiunga na jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi
  • .

7
  • Uundaji wa SACCOS ya vijana Wilaya.
  • Zoezi la uundaji wa SACCOS umefanyika.
  • Zoezi ya uundaji wa bodi ya uuongozi wa muda wa SACCOS umeundwa
  • SACCOS ya vijana imepatiwa mkopo wa Tsh 10,000,000/=
  • Vijana wengi wamejitokeza kujiunga na SACCOS
  • Idara itaendelea kuhamasisha Vijana kujiunga na SACCOS ili kuwainua kiuchumi.
  • Fedha zote za mikopo ya vijana zitapitia kwenye SACCOS ya vijana wilaya.
  • Idara ya ushirika kwa kushirikiana na idaray a maendeleo ya jamii zitaendelea kuhamasisha Vijana kujiunga na SACCOS.

8
  • Maadhimisho siku ya wanawake duniani
  • Maadhimisho yalifanyika katika kijiji cha Mbigiri kata ya Partimbo tarehe 13/03/2018
  • Watu wengi walijitokeza, ngoma, nyimbo, hotuba ya mgeni rasmi ilifanyika
  • Ufinyu wa bajeti
  • Maadhimisho yataendelea kila mwaka.
  • Maadhimisho yataendelea kila mwaka.




















Matangazo

  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI July 23, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA UTENDAJI WA KIJlJI III August 26, 2021
  • TANGAZO LA KUKODISHA VIBANDA March 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPTEMBA 2023 September 03, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TABIA MBAYA ZA WATUMUSHI ZINAHARIBU SIFA ZA TAASISI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KITETO LIMEMPONGEZA RAIS SAMIA.

    May 30, 2025
  • PONGEZI KWA WANANCHI KWA KUTUNZA MAZINGIRA

    April 28, 2025
  • TUUENZI MUUNGANO WETU

    April 27, 2025
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa