• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Usafi na mazingira


Majukumu ya idara ya Usafishaji mazingira

  1.   Kusimamia na kufuatilia ukusanyaji wa taka katika vizimba,uzoaji taka  kutoka vizimbani kwenda dampo kuu.Kazi hii inafanywa na jamii kwa kushirikiana na mzabuni ambaye huzoa taka tripu 30 za lori kutoka katika vizimba viwili.
  2. Kusimamia utekelezaji wa  sheria namba 1 ya mwaka 2003 ya mamlaka ya chakula, dawa na vipodozi (TFDA).
  3. Ufuatiliaji wa ubora wa majengo yote yanayotumika katika biashara  za vyakula ikiwemo kuhifadhi ,kuuza na kuzalisha vyakula baada ya kukidhi vigezo.Majengo hayo yameanza kupatiwa usajili .
  4. Kuratibu  shughuli za usafi siku ya jumamosi ya kila mwisho wa mwezi kama ilivyo agizo la Rais ,pamoja na siku ya usafi ya Alhamisi ya kila wiki kama lilivyo agizo la halmashauriUsimamizi na utekelezaji katika ngazi ya wilaya ,kata na vijiji umekuwa ukifanyika,timu ya wilaya ikiongozwa na mkuu wa wilaya inafanya jukumu la kusimamia utekelezaji kiwilaya.kata ikiongozwa na afisa mtendaji wa kata inasimamia kata,na kupokea taarifa zote kwa watendaji wa vijiji.Watendaji wa vijiji wanashirikiana na jamii kusimamia  usafi na kutuma  taarifa kwa mtendaji wa kata.
  5. Kubuni mbinu za kupendezesha mji mdogo wa kibaya,ambapo  idara hufanya mikutano na wadau  wa usafi katika mji wa kibaya. Katika mikutano wa tarehe 13/04/2018 maazimio yafuatayo yaliwekwa.
  6. Kutekeleza sheria za upendezeshaji mji mara moja na kuwachukulia hatua wote wanaochafua mji kwa kutupa taka hovyo.
  7. Kufuatilia uwepo wa mapipa ya taka katika maeneo ya biashara,hususani maeneo ya maduka na migahawa.
  8. Kuwaandikia barua wakuu wote wa taasisi ,kuwataka kufyeka nyasi ,kuondoa vichaka katika maeneo yao na kupanda miti  ya kisasa ya kivuli na maua yenye kulenta mandhari nzuri ya mji.

Matangazo

  • Usafi wa Kitaifa kwa mwezi Februari ni tarehe 23/02/2019 January 29, 2019
  • Kikao cha baraza la madiwani , tarehe 30 - 31 Januari 2019 January 14, 2019
  • Matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DC Kiteto Ataka Usimamizi Katika Urejeshaji wa Mikopo

    February 02, 2019
  • Madiwani Watakiwa Kuhimiza Elimu

    February 01, 2019
  • “Tutahakikisha Tunakamilisha Miradi Yote”DED Kiteto

    January 30, 2019
  • Kamati ya Lishe Yataka Ufuatiliaji wa Karibu Katika Bidhaa na Huduma za Vyakula

    January 15, 2019
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Hesabu ya watembeleaji

https://Dissertation-Writingservice.com

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa