• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Maktaba ya picha

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto  Ndg. Tamim Kambona akipokea vyeti vya ushindi wa bidhaa za maziwa  kutoka kwa kaimu Afisa mifugo (W) Lunonu  Sigala vilivyotolewa kwa Kiwanda cha maziwa cha Kibaya Dairy Products kilichopo katika mji mdogo wa Kibaya wilayani Kiteto.Vyeti  vitatu ,pamoja na medali tatu za shaba vimetolewa kama zawadi kwa kiwanda cha Kiwanda hicho baada ya kushika nafasi ya tatu katika uzalishaji wa bidhaa za maziwa. Aliyesimama katikati ni Afisa mipango ( W) bibi Beatrice Lumbeli

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto  Ndg. Tamim Kambona akionyesha medali za shaba zilizotolewa pamoja na vyeti  kama zawadi ya ushindi kwa bidhaa za maziwa kwa kiwanda cha Kibaya dairy products kilichopo katika mji mdogo wa Kibaya wilayani Kiteto, katika wiki ya maziwa.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto  Ndg. Tamim Kambona( Aliyesimama katikati( akizungumza na wachezaji wa UMISETA wakati akifungua kambi ya wiki moja kwa ajili ya kuwapata wachezaji wa kwenda kucheza mkoani. 

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto  Ndg. Tamim Kambona akisalimiana na wachezaji  baada ya kuzungumza nao. Aliyeko nyuma yake ni Afisa elimu Sekondari ( W) Ndg. Mtinga Maleya.




                                                      Jengo la ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kiteto katika hatua mbalimbali za ujenzi

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI. September 10, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Usafi wa Kitaifa kwa mwezi Septemba ni tarehe 26.09.2020 September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Awaagiza Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Kutofanya Kazi Kwa Mazoea.

    September 11, 2020
  • Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Wapewa Mafunzo ya Mfumo wa Kielektroniki Utakaotumika Kukusanya na Kuhakiki Madeni ya Watumishi Serikalini.

    September 01, 2020
  • Mh.Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Kanali Patrick Songea Ahimiza Jamii Kuwa na Lishe Bora Ili Kuepuka Magonjwa Yanayoepukika.

    August 28, 2020
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Bw.Tamim Kambona Azindua Rasmi Kampeni ya Usafi wa Mazingira Kiwilaya Iliyofanyika Kata ya Njoro.

    August 25, 2020
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa