• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe watumishi |
    • Malalamiko |
Kiteto District Council
Kiteto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Teknolojia,Habari ,Mawasiliano na Mahusiano
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uchimbaji Madini
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Ardhi na Maliasili
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kiteto Bw.Tamim Kambona amefungua rasmi Mafunzo ya siku mbili (2) ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura jimbo la Kiteto kwa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata leo tarehe 24.07.2019.

Imetumwa : July 24th, 2019

Mwenye koti katikati ni Hakimu Mkazi wa Kiteto Mh.Hudi Majid Hudi akiwa katika zoezi la kuwaapisha/kuwathibitisha wasimamizi wa Daftari la Wapiga kura Jimbo la Kiteto


Wasimamizi wa Daftari la Wapiga kura Jimbo la Kiteto wakiaapa/kuthibitisha  tayari kwa uandikishaji.



Wasimamizi wa Daftari la Wapiga kura Jimbo la Kiteto wakisikiliza mada mbalimbali.

TAARIFA KAMILI .....

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kiteto Bw. Tamim H. Kambona ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, amefungua rasmi Mafunzo ya siku mbili (2)

 ya Uboreshaji wa daftari la wapiga kura Jimbo la Kiteto kwa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata leo tarehe 24.07.2019 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto.

Zoezi hili la uandikishaji katika Jimbo la Kiteto litaanza tarehe 31.07.2019 hadi 06.08.2019 kwa kata zote 23 za Jimbo la uchaguzi Kiteto. Uandikishaji huu unatumia kifaa cha kisasa "Biometric Voters Registration kit (BVR KIT)" ambapo uchukuaji wa taarifa za mpiga kura zinachukuliwa kwa kutumia kompyuta, alama za vidole, saini ya kielektroniki na picha ambayo hairuhusu mtu kujiandikisha zaidi ya mara moja kupitia mfumo wa usajiri wa wapiga kura "Voters Registration System.

Malengo.

kazi na lengo kuu la kuboresha daftari la wapiga kura ni Kuandikisha wapiga kura wapya, kuboresha taarifa za wapiga kura hususani waliohama na wengineo, pia kuwaondoa wale ambao hawana sifa kama vile watu waliofariki.

Nani anaruhusiwa kuandikishwa?

Kwa mujibu wa Kifungu cha 10 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguz, Sura ya 343 na Kifungu cha 15 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, ili mtu aweze kuwa mpiga kura anapaswa kuwa na sifa zifuatazo:-

Awe raia wa tanzania - kwa kuzaliwa, kwa kurithi au kwa tajnisi (uraia wa kuomba), 

     Awe na umri wa miaka 18 au zaidi au atatimiza umri wa miaka 18 kabla au ifikapo tarehe ya uchaguzi.

Agizo kwa wataalamu wanaohusika na Uboreshaji wa Daftari hili. 

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kiteto Bw. Tamim H. Kambona amesema tuheshimu sana masuala yote yanayohusu uchaguzi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi. Kwa mtazamo huu nasisitiza wahusika wote wa zoezi la uandikishaji wapiga kura mfanye kazi kwa ushirikiano, bidii na weledi, pia kukaa katika kituo husika muda wote ili kufanikisha zoezi hili la uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Aliongeza kuwa wale ambao ni wazoefu basi wasifikiri wanajua kila kitu bali watumie fursa hii ya kuongeza ujuzi zaidi kisha wawe chachu ya utendaji kazi wenye matokeo chanya kwa Jimbo letu la Kiteto.

Uhamajishaji.

Kamati ya uhamasishaji zoezi hili litatoa matangazo kwenye mbao za matangazo kupitia tovuti ya Halmashauri ya Wialaya ya Kiteto, radio, runinga na kutumia magari ya yatayopita kitongoji kimoja hadi kingine ili kuwasisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi katika uborehsji huu. Suala la uhamasishaji ni la msingi na litafanywa katika Jimbo lote la Kiteto na maeneo yote ya vijijini hadi ngazi ya Kitongojini kwa matangazo sahihi na kwa wakati kwani tunahitaji kuandikisha kwa asilimia mia moja (100%) katika Jimbo la Kiteto.

---------------------------------------------------- NAWASILISHA ------------------------------------------------------






Matangazo

  • TANGAZO LA BVR KIT OPERATORS NA WAANDISHI WASAIDIZI WALIOCHAGULIWA July 26, 2019
  • MAJINA BVR KIT OPERATORS NA WANDISHI WASAIDIZI JIMBO LA KITETO July 26, 2019
  • MAJINA YA BVR KIT OPERATORS WA AKIBA July 26, 2019
  • Maadhimisho ya Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26 Aprili 2019 March 14, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Shirika la OIKOS la Italia Laongeza Nguvu Katika Uwekezaji wa Miradi ya Maji Kwa Miaka 3 Wilayani Kiteto.

    November 12, 2019
  • Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh.Mhandisi Tumaini Magessa Ashuhudia Red Star FC (Watumishi FC) Ilivyopambana Kufa na Kupona na Mahasimu Wao Royal FC ya Arusha Leo Tarehe 09.11.2019

    November 09, 2019
  • Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Kaskazini Pamoja na NIDA Waongeza Nguvu Katika Uhamasishaji wa Zoezi la Usajiri wa "LINE" za Simu Wilayani Kiteto.

    October 31, 2019
  • Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh. Mhandisi Tumaini Magessa Asisitiza Ufanyaji Mazoezi kwa Watumishi Ili Kuimarisha Afya Zao.

    October 26, 2019
  • Angalia zote

Video za matukio ya kiofisi na kitaifa.

MWENGE MAKABIDHIANO MKOA WA MANYARA 2018
Video Zaidi

Kiunganishi cha Haraka

  • Kupata Hati ya Mshahara

Viunganishi vya Tovuti Nyingine

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • MANYARA
  • NECTA
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Kibaya-Kiteto

    Anwani ya Posta: P.o.Box 98, Kibaya-Kiteto

    Simu ya Mezani: +255 027-2552099

    Simu ya kiganjani:

    Barua Pepe: ded@kitetodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki@2017 Halimashauri ya Kiteto.Haki zote zimehifadhiwa