Habari mpya

Zaidi

Dashibodi

Takwimu za Haraka

  • Jumla ya Idadi ya Vijiji ni 63 na Kata ni = 23
  • Ukubwa wa Wilaya ni Kilometa za mraba = 16,685
  • Kwa Sensa ya Kitaifa ya mwaka 2012, Jumla ya watu Kiwilaya ni = 244,669
  • Jumla ya Idadi ya Shule za Msingi Kiwilaya ni ( binafsi 3 na Serikali 87) = 90
  • Jumla ya Wanafunzi Shule za Msingi hadi Desemba 2016 ni = 39,914
  • Jumla ya Idadi ya Shule za Sekondari ni ( binafsi 1 na Serikali 16) = 17
  • Jumla ya Wanafunzi Shule za Sekondari hadi Desemba 2016 ni = 5467
  • Magari ya Wagonjwa 2, Zahanati 25, Vituo vya Afya 2 na Hospitali ya Wilaya = 1
  • Maji - Mabwawa madogo 36, Mabwawa Makubwa 5, Chemchem 6, Visima Vifupi 8 na Visima Virefu = 74
Takwimu Zaidi